Quantcast
Channel: Makala – ShaffihDauda
Browsing all 676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakiwa kwenye vita ya miaka 6 – Syria kujifuta machozi na kufuzu kombe la Dunia?

Wakati miji mbalimbali ya nchi hiyo ikiwa katika hali mbaya na mamilioni ya wananchi wake wakiwa wanapigika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe, Syria wanapigana kufanikisha ndoto ya kushiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Messi, CR7, Bale, Buffon, Sanchez na mastaa wengine ambao huenda wakaangalia...

Hatua ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 inakaribia kumalizika, lakini kuna uwezekano mkubwa wachezaji wenye majina makubwa wakaikosa michuano hii mikubwa zaidi duniani. Argentina: Lionel...

View Article


Mechi 5 za mwanzo wa msimu Yanga, Lwandamina vs Pluijm nani mkali?

Kumeanza minong’ono na ukosoaji kuhusu kocha wa Yanga George Lwandamina kutokana na matokeo ya timu hiyo siku za hivi karibuni, baadhi ya wadau wa soka wanaonekana kutoridhishwa na mwenendo mabingwa...

View Article

Ni wakati mwafaka Ndemla kuondoka Simba kujiunga Yanga ili kuthibitisha ubora...

Na Baraka Mbolembole KUSAJILIWA kwa Mohamed Ibrahim na Muzamiru Yassin katika kikosi cha Simba katikati ya mwaka 2016 wakitokea Mtibwa Sugar FC kulianza kupunguza nafasi ya kucheza kwa Said Ndemla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ronaldo vs Messi: Nani kuwa wa kwanza kutimiza hat tricks 50?

Lionel Messi amethibitisha kwa mara nyingine usiku wa Jumanne kwamba alizaliwa kuucheza huu mchezo unaoitwa soka baada ya kuisadia Argentina kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018. Magoli matatu ya...

View Article


Misimu 5 makocha 4, kunani Mbeya City?

Mbeya City ‘timu ya kizazi kipya’ ilipanda kucheza ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2012/2013 chini ya kocha Juma Mwambusi. Timu hiyo iliwashangaza watanzania baada ya kufanya vizuri msimu huo na...

View Article

Tatizo Yanga sio Manji wala Lwandamina ni Pluijm

Matereka Junior Wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu bingwa ya soka nchini Yanga, Yusuph Mehboob Manji  alipopangua safari ya timu hiyo kwenda Kagera kutumia basi na badala yake kutumia usafiri wa anga...

View Article

Wachezaji 8 wazawa kikosi cha kwanza Yanga, ni lazima waifunge Kagera Sugar

Na Baraka Mbolembole KAMA wanahitaji kupata ushindi katika mchezo wa Jumamosi hii ni lazima kikosi cha Yanga kibadilike kimbinu na kiufundi wakati watakapoivaa Kagera Sugar FC katika uwanja wa Kaitaba,...

View Article


Ibrahim Ajib huyu ni namba 10, mwokozi aliyekuja Yanga wakati mwafaka

Na Baraka Mbolembole WAKATI mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC walipoichapa KageraSugar FC 2-1 katika uwanja wa Kaitaba, Bukoba Jumamosi iliyopita na ‘kufunga’ gepu la pointi na...

View Article


George Weah amemwaga jasho vitani sio damu

Na Privaldinho Abiud Tarehe 4 /12/ 2011 Raisi wa Brazil Dilma Rouseff alitangaza kuwa Brazil imepoteza mtu wa muhimu sana. Mji wa Belerm kule Para ulijawa na majonzi makubwa kutokana na taarifa ile ya...

View Article

Dickson Daudi kipenzi cha Maximo aliyevunjwa mguu 2007, amewaficha, Ngoma,...

Na Baraka Mbolembole WAKATI mlinzi wa kati wa zamani wa Taifa Stars, Dickson Daud ‘kwa makusudi alipovunjwa vibaya mguu’ na mchezaji fulani (nisingependa kumtaja jina) aliyekuwa katika kikosi cha JKT...

View Article

Nina sababu za kuamini Mecky Maxime atainyanyua Kagera Sugar

Mechi sita za VPL zimeshapigwa, Kagera Sugar ipo mkiani ikiwa na pointi mbili ambazo imezipata katika mechi ambazo wametoka sare bado hawajapata ushindi hadi sasa. Yameanza kuzungumzwa maneno mengi juu...

View Article

Kuelekea Dar darby: Yanga vs Simba ushindi unaanzia hapa

Na Matereka Jalilu KAMA ingekuwa mchezo wa soka ni dini basi duniani kungekuwapo na dini moja kubwa ambayo ni mpira wa miguu na sio kwamba michezo mingine haina wapenzi la hasha! Bali ni kutokana na...

View Article


Jicho la 3: Si Ajib wala Okwi huyu ndiye ‘pilato’ wa Dar-Pacha

Na Baraka Mbolembole KUELEKEA mchezo wa ‘Dar Pacha’ siku ya Jumamosi hii katika uwanja wa Uhuru, Ibrahim Ajib na Emmanuel Okwi wanaonekana kama ‘miungu’ ambao wataamua pambano hilo la kwanza la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Man Utd vs Spurs: Mourinho na Mnyonge wake Pochettino, DeGea vs Lloris, Kane,...

Kwa mara ya kwanza ndani ya takribani kipindi cha mwezi, United watarejea nyumbani Old Trafford wikiendi hii kukipiga dhidi ya Spurs. Mchezo huu unazikutanisha timu zinazoshika nafasi ya pili na ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo 5 usiyoyafahamu kuhusu mabingwa wa dunia England – Kifaa cha Pep vs...

England wameshinda ubingwa wa kombe la dunia la vijana chini ya umri wa miaka 17 baada ya comeback ya kutoka nyuma kwa magoli 2-0 na kwenda kushinda 2-5 dhidi ya Spain katika mchezo wa fainali...

View Article

Baada ya Yanga 1-1 Simba, kikosi kipya cha Lwandamina kinaweza kutwaa VPL...

Na Baraka Mbolembole KIWANGO cha juu kutoka kwa kocha Mzambia, George Lwandamina katika machaguo ya wachezaji, mbinu na usomaji wa mchezo kumempa ‘heshima kubwa’ kocha huyo wa zamani wa Zesco United....

View Article


“Wachezaji wetu wanatakiwa kuamini kwamba, Tanzania hakuna maisha”-Shaffih Dauda

Wachezaji wetu wa kitanzania wanatakiwa kutambua kwamba hawawezi kupata maisha bora kwa kutegemea mishahara ya vilabu vya hapa nyumbani. Wanaweza wakapata pesa lakini si ya kuendesha maisha yao hata...

View Article

Jicho la 3: Erasto Nyoni ‘daktari’ pekee anayepigania maisha ya Omog ‘ICU’

Na Baraka Mbolembole UONDOKAJI wa kocha Mzambia, Patrick Phiri katika klabu ya Simba miaka ya 2005 na 2011 ulikuwa ni ‘ule wa bila kuaga.’ Lakini aliporejea tena klabuni hapo kwa mara ya tatu Agosti,...

View Article

Majibu ya Haji Manara kwa Mchambuzi ‘asiyejulikana’

NI HARAAM KUMUUACHIA MTU HUYU!! Na HAJI S. MANARA Salaam Kiasili Haji Manara sio mtu dhaifu anayeweza kukalia kimya shutuma zinazokuja kwake binafsi au taasisi anayoingoza na kuifanyia kazi, ni aina ya...

View Article
Browsing all 676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>