Matukio makubwa kwenye mechi ya Azam vs Simba Jumamosi Sep 9,2017
Kesho Jumamosi ya September 9, 2017 ligi kuu Tanzania bara itaendelea kwa mechi kadhaa kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali, mechi kubwa jijini Dar ni kati ya Azam FC vs Simba mechi ambayo huitwa derby...
View ArticleAfrican Lyon bado ipo ligi kuu
Na Thomas Ng’itu KLABU ya African Lyon inayomilikiwa na Mkurugenzi machachari Rahim Kangezi ‘Zamunda’, imeshuka daraja lakini ni bado ipo katika ligi kuu baada ya wachezaji wake wote nyota waliokuwa...
View ArticleWanarudi Chamazi kama Wageni
Thomas Ng’itu Katika safari ya maisha ya mpira huwa kuna vipindi vya usajili, vipindi hivi ndivyo wachezaji huwa wanaamua jinsi ambavyo maisha yao yatakavyokuwa kutokana na kuwa ni kipindi ambacho...
View ArticleNi ngumu washambuliaji wa Simba kuifunga Azam FC yenye beki ya kimataifa
Na Baraka Mbolembole SIMBA SC inahitaji safu ya mashambulizi kujiamini dhidi ya safu ya ‘ulinzi ya kimataifa’ ya Azam FC wakati timu hizo zitakapopambana katika wiki ya pili ya ligi kuu Tanzania bara...
View ArticleNi mechi ya kudhihirisha au kupotea kwa Azam FC
Na Zaka Zakazi Msimu mpya wa Ligi Kuu 2017/18 umeshaanza na leo unaingia katika raundi yake ya pili. Kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2012/13, Azam FC imeonodolewa kwenye orodha ya timu zinazopewa...
View ArticleBato ya viungo, halijawaacha Azam na Simba salama
Na Thomas Ng’itu Achana na matokeo ya sare ya bila kufungana dhidi ya Azam na Simba,jambo kubwa lililokuwepo katika mchezo huo ni bato la aina yake katika dimba la kati. Katika safu ya kiungo ya Azam...
View ArticleIbrahim Mo atamfukuzisha kazi Omog pale Simba
Na Baraka Mbolembole KATIKA uchambuzi wa kwenye makaratasi, Simba SC walionekana kuwa na kikosi cha ‘kutisha’ na tena walikuwa na wachezaji wengi ‘maarufu’ kuliko Azam FC, lakini hayo hayakuweza...
View ArticleMwadini endelea kuvuta mshahara wa Azam ukiwa benchi au ingia kwenye darasa...
Tayari klabu ya Azam imecheza mechi mbili za kwanza za ligi kuu Tanzania bara na kumshuhudia golikipa mkongwe wa klabu hiyo Mwadini Ali akiwa kwenye benchi huku golikipa mghana Razak Abalora akiwa...
View Article#UCLIsBack: Rekodi za CR7, Messi, Barca Liverpool walizoweka kwenye hatua ya...
Kuelekea hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa wa ulaya inayoanza kesho – tuangalie rekodi mbalimbali zinahusu hatua hiyo ya michuano hii mikubwa zaidi barani ulaya kwa ngazi ya vilabu. Wachezaji...
View ArticleUCL: Mourinho ataweza kuutafuna mfupa wa Basel uliomshinda Ferguson?
Baada ya miaka miwili Hatimaye Manchester United usiku wa leo wanarejea tena katika usiku wa ulaya, wakifuzu kupitia mlango wa ubingwa wa UEFA Europa League, Leo usiku wimbo wa Champions League...
View ArticleJembe la Azam linavyoipalilia Yanga
Na Thomas Ng’itu Wakati wa dirisha kubwa la usajili lilipokuwa linaendelea mwezi uliopita, nilikuwa najiuliza kwa nini Yanga wang’ang’anie kuwa Gadiel Michael ni mchezaji wao, huku yeye mwenyewe...
View ArticleLwandamina amepiga pasi ya mwisho kwa Mahadhi, tuone pasi ‘rula’ na magoli ya...
Na Baraka Mbolembole KOCHA, George Lwandamina tayari ameonekana kuwaamini wachezaji kadhaa wapya, lakini imani yake ya muda mrefu kwa kiungo Juma Mahadhi inaweza kumletea matokeo mabaya kama mchezaji...
View ArticleWazawa wanaokosekana VPL msimu huu baada ya kupata deal za nje
Thomas Ng’itu MSIMU mpya wa 2017/8 ukiwa unaendelea kutimua vumbi, wachezaji wengi ambao walikuwepo katika msimu uliopita wa 2016/7, hawapo katika vilabu vyao baada ya kupata dili za kwenda kusakata...
View ArticleSchalke wautamani ushindi dhidi ya Bayern Munich
Kila mara Schalke wanapocheza na Bayern Munich kwenye Bundesliga, mashabiki wa Schalke huwa wanakumbuka jinsi timu yao ilivyoichapa Bayern 7-0 katika uwanja wao wa nyumbani, Allianz Arena. Lakini hali...
View ArticleLabda ‘tabia yake’ itawapa ubingwa Yanga msimu huu, si kwa mbinu za...
Na Baraka Mbolembole KATIKA michezo miwili waliyokusanya pointi nne mjini Njombe na Songea, timu ya Yanga haikuonekana kucheza vizuri huku safu ya kiungo ikionekana ‘kuchemka’. Goli la mpira wa faulo...
View ArticleWakati kila timu ikiangusha pointi, Mtibwa, Singida, Prisons zinawaburuza VPL...
Na Baraka Mbolembole MTIBWA Sugar FC iliangusha pointi za kwanza baada ya kucheza mchezo wa nne msimu huu. Baada ya kuzishinda timu tatu kutoka Kanda ya Ziwa (Stand United, Mwadui FC, Mbao FC)...
View ArticleAtletico vs Chelsea: Simeone ataendeleza rekodi bora ya nyumbani?
Atlético wamepoteza mchezo mmoja tu katika michezo 23 waliyocheza chini ya Diego Simeone katika uwanja wa Vicente Calderón – leo wanacheza mchezo wao wa kwanza wa ulaya katika dimba lao jipya la...
View ArticleTayari Azam imeonekana kuwa imara zaidi ya Yanga, Simba labda itokee
Na Baraka Mbolembole KUCHEZA michezo 25 na kuruhusu magoli manne katika michuano ya ndani ya nchi kwa miezi karibia kumi sasa si jambo la ‘kubeza’. Michezo sita pasipo kuruhusu goli iliambatana na...
View ArticleNgoma shambulia kutokea kushoto, Chirwa simama kati, Ajib atokee kulia,...
Na Baraka Mbolembole NI ngumu sana Yanga SC kupoteza mechi ya ligi kuu Tanzania Bara ndiyo maana wanapotangulia kufungwa goli ‘hustuka’ haraka na kulikomboa. Hii ni sababu mojawapo ya kikosi kilicho na...
View ArticleJicho la 3: Baada ya mataji matatu mfululizo, manne katika misimu mitano VPL,...
Na Baraka Mbolembole BAADA ya ‘anguko’ kubwa la kwanza kubwa ndani ya uwanja katika karne ya 21, mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara, timu ya kandanda ya Yanga ilifanya ‘uamuzi bora’ zaidi katikati...
View Article