Usajili wa Neymar PSG: Qatar, Siasa za Mashariki ya kati, biashara...
Ulimwengu wa soka unasubiri kwa hamu kukamilika kwa uhamisho wa mshambuliaji wa kibrazil Neymar kutoka FC Barcelona kwenda Paris Saint Germain (PSG) kwa adabya uhamisho ambayo itavunja rekodi ya £198m...
View ArticleUnajifunza nini kutoka Singida United? Mimi tayari wamenipa somo…
August 3, 2017 klabu ya Singida United ilisaini mkataba wa udhamini na kampuni ya YARA Tazania LTD, mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 250 za Tanzania na klabu hiyo...
View ArticleKuelekea mchezo wa Madrid vs Man Utd, hizi ndio takwimu na rekodi za UEFA...
Msimu mpya wa soka barani unatarajiwa kuanza rasmi kesho wakati utakapopigwa mtanange utakaowakutanisha wababe wa ulaya msimu uliopita. Mabingwa wa Champions League Real Madrid na mabingwa wa Europa...
View ArticleYanga itaendelea kubebwa na washambuliaji, kikosi chao kimebalansi
Na Baraka Mbolembole Nilitazama pambano la kwanza la kujipima nguvu kwa kikosi cha Yanga SC siku ya Jumamosi. Na baada ya mabingwa hao mara tatu mfululizo wa ligi kuu Tanzania Bara kukamilisha usajili...
View Article‘Kiroho safi, Mzee Kilomoni kaondoe kesi mahakamani, iache Simba iende...
Na Baraka Mbolembole ILI kufikiriwa kusamehewa na wanachama wengi wa klabu, kwanza Mzee Hamis Kilomoni anapaswa ‘kutokwa’ na mawazo yake kuwa ‘hawezi kuondolewa’ katika nafasi ya mwenyekiti wa Baraza...
View ArticleLa Liga’s Back: Madrid wanaisaka rekodi bora ya ufungaji ya Santos ya Pele
Real Madrid wanaendelea kuwa timu ya aina yake kila siku, wakishinda taji baada ya taji chini ya uongozi wa Zinedine Zidane, na sasa wana changamoto ya kuivunja rekodi nyingine mbele yao: kuvunja...
View ArticleKama ulipitwa na Ngumu Kumeza ya Sports Extra August 18, 2017, Unaipata hapa…
Kila siku ya Ijumaa ndani Sports Extra ya Clouds FM kuna kuwa na segment ya Ngumu Kumeza ambayo hugusa sehemu mbalimbali kwenye anga la michezo hapa Bongo. Sasa kama Ngumu Kumeza ya Ijumaa August 18,...
View ArticleSi ‘Harupesa’, usimzomee Ajib, wote wawili wamefanya uamuzi wa kimpira, nani...
Na Baraka Mbolembole WAKATI pambano la Ngao ya Jamii likitaraji kuwakutanisha mahasimu wa kandanda nchini kwa mara ya kwanza katika historia jioni ya leo katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, macho ya...
View ArticleNiyonzima anaweza kufeli Simba kama Mwinyi Rajab, au Ajib kufankiwa Yanga...
Na Baraka Mbolembole KUELEKEA mchezo wa mahasimu wa Soka nchini Yanga SC vs Simba SC jioni ya leo katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mashabiki wa timu hizo wanataraji si tu kuona pambano zuri la...
View ArticleNaiona Yanga ikibebwa katika mabega ya Tshishimbi na Kamusoko
Na Baraka Mbolembole UIMARA wa Yanga SC katikati ya uwanja , nidhamu ya hali ya juu kutoka kwa wachezaji, na uwezo wa kukaba, kuipeleka timu mbele, na uamuzi wa haraka wa kiungo, Mcongoman, Papy...
View ArticleAzam inaweza ‘kupenya’ katikati ya Yanga, Simba, na kushinda VPL msimu huu
Na Baraka Mbolembole AZAM FC imewapoteza ‘wachezaji wake watano washindi’, akini kocha Mromania, Aristica Cioaba anaweza kujenga kikosi kikali msimu huu. Kocha huyo aliyeiongoza Azam FC katika...
View ArticleKama ilikupita Ngumu Kumeza ya Sports Extra August 25, 2017, isome hapa…
Baada ya kumalizika mechi ya Ngao ya Jamii maneno yakaanza kuvuma palepale uwanjani Je, TFF ni ileile au hii ni nyingine? Wenye hoja ile wakasema suala la Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF)...
View ArticleMisimu minne ambayo bingwa VPL alipaswa kutoka nje ya Dar
Na Baraka Mbolembole MSIMU wa 54 wa ligi kuu Tanzania Bara unataraji kuanza Jumamosi hii kwa mipambano 7 kuchezwa katika viwanja tofauti nchini. Simba SC itakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting katika uwanja...
View ArticleNgumu Kumeza ya September 1, 2017 imegusa wapi? Kama ilikupita isome hapa…
Unaweza kuwaita makaidi, jeuri na mengineyo lakini hawajawahi kusajili mara mbili, hapo nawazungumzia Haruna Moshi ‘Boban’ na Athumani Idd ‘Chuji’ pamoja na utukutu wao walibaki kwenye kuheshimu saini...
View ArticleMayanga alijihami, Msuva akafunguka
Mwandishi wetu Licha ya kuwa kocha Salum Mayanga alikuwa kama anajihami katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana,baada ya kucheza mchezo wa kujihami kwa kutumia mfumo wa 4-2-3-1,winga wa Stars Simon...
View ArticleKaribu kwangu Ndemla
Kila mtu anamsifia Ndemla, kila mmoja anamwita mchezaji mwenye kipaji cha kipekee na kila mmoja anamwita kiungo wa kariba ya peke yake Tanzania. Too bad hakuna anayemwona kuwa anadumaa. Alitakiwa kuwa...
View ArticleKuelekea World Cup 2018: Spain wapo tayari kutawala tena soka la dunia
Inaonekana sasa magwiji wa soka barani ulaya wameanza kuonyesha kwamba wana nguvu ya kushindana na wenzao wa Amerika ya kusini kama vile Brazil kwamba wale wanaopewa nafasi kubwa ya kulitwaa taji la...
View ArticleJicho la 3: ‘Si Mkopi na Buswita tu, haki ingetendeka kama TFF ingezifungia...
Na Baraka Mbolembole MOHAMED Mkopi alifungiwa kucheza soka kwa muda wa mwaka mmoja kutokana na kosa la kujisajili Mbeya City FC wakati angali bado na mkataba wa mwaka mmoja zaidi na klabu ya Tanzania...
View ArticleTimu 20 VPL ni mpango mzuri, lakini ‘uswahiba’ wa Toto na Yanga ni tatizo,...
Na Baraka Mbolembole IKIWA tayari imetangazwa na Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kuhusu ongezeko la idadi ya timu shiriki katika ligi kuu ya kandanda Tanzania Bara ni wazi mpango huo umekuja wakati...
View ArticleBaada ya miaka 10, Bocco anarejea nyumbani akiwa adui mwenye mabomu
Jumamosi ya September 9, 2017 kutakuwa na moja ya mechi nzuri na ya aina yake ya ligi kuu Tanzania bara ambapo Simba watakuwa wakicheza dhidi ya Azam kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wa Azam Complex...
View Article