Je Lukaku ni usajili sahihi, Sanchez atabaki au ataondoka – maswali 6...
Msimu wa 2017-18 wa Premier League unaanza mwezi mmoja kutoka sasa. Huku dirisha la usajili likizodi kushika kasi na pre season zikiwa zimeanza tuangalie maswali 6 makubwa kwa kila timu iliyoshika...
View ArticleFIFA na wanachama wake wakizingatia haya, ubaguzi tutausoma kwenye vitabu vya...
Na Salym Juma, Arusha Mshambuliaji bora kabisa Duniani kuwahi kutokea baada ya Pele, Diego Maradona amekaririwa akisema kuwa aliwahi kubaguliwa akiwa Napoli. Kumbuka huyu ni Mzungu ila amewahi kukutwa...
View ArticleSio Conte na Costa pekee, wapo wengine waliowahi kuingia kwenye ‘bifu’ zito
Na Salym Juma, Arusha Kuna taarifa zinaenea kwenye mitandao kumuhusu Antonio Conte kutaka kufanya mazungumza na Diego Costa ili waweze kumaliza tofauti zao ambazo zilitokea katikati ya msimu japokuwa...
View ArticleJapo umri unawatupa mkono, hawa ni wachezaji wanaozeeka na viwango vyao
Na Salym Juma, Arusha Kwenye mpira wa miguu, mchezaji akishafikisha miaka 30 huonekana mzee na hata kama akisajiliwa thamani yake kipesa huwa sio kubwa kama vijana wa miaka 22-28. Wachezaji wengi...
View ArticleSio Abdi Banda pekee, hawa hapa mabeki wasio na sifa ya ‘kubutuabutua’ barani...
Na Salym Juma, Arusha Wanasoka wengi wamezoea kuwaona mabeki wa kati wakiosha ‘kubutua’ hasa linapokuja suala la timu zao kushambuliwa. Jambo hili limekuwa la kawaida sana kwa mashabiki na mara zingine...
View ArticleWachina wanavyoliamsha dude lilolala – AC Milan
Soka la ushindani linarejea tena Italia – Juventus wamepata changamoto mpya ambayo inakuja katika shape ya ‘mwamba uliolala’ kama AC Milan ambao wapo katika kukifanyia maboresho makubwa klabu yao ili...
View ArticleChelsea msimuite Lukaku msaliti, tazameni mwanya huu uliotumiwa na ‘Mashetani’
Na Salym Juma, Arusha Tar 6 July 2017 ilikuwa siku nzuri kwa ‘Mashetani’ kwani walifanikiwa kunasa saini ya bidhaa adimu kwa sasa ulimwenguni. Kumpata mtu aliyefunga magoli 26 katika michezo 39 kwa...
View ArticleIfahamu zaidi Baroka FC, timu iliyomsajili Abdi Banda wa Simba
Na Salym Juma, Arusha Nikinukuu kauli ya Abdi Banda katika maandishi kwamba, wachezaji wajitume na wanatakiwa kuwa makini na nafasi, hasa zinapotokea nafasi za kutoka kwenda kucheza nje ya nchi na...
View ArticleSababu kwanini Juve wamemuuza Bonucci, kisa cha kuzikataa Chelsea & Man City
Uhamisho wa Leonardo Bonucci kutoka Juventus kwenda AC Milan kwa ada ya uhamisho wa 40 million euros ni moja ya biashara iliyoistua ulimwengu wa soka. Tunaongalia kutoka nje tunashindwa kuelewa ni...
View ArticleKwa sababu hizi ‘piga ua’ jiandaeni kumuita Lacazette mchawi wa magoli pale...
Na Salym Juma, Arusha Jezi namba 9 ndiyo iliyokabidhiwa kwa mshambuliaji mpya wa Arsenal aliyesaini mkataba wamiaka 5 mnamo July 5, 2017. Sitopenda kuizungumzia jezi hii ambayo imekuwa na bahati mbaya...
View ArticleNeymar to PSG: Hivi ndivyo waarabu wanavyoweza kutumia Trillioni 1+ kumsaini
Sakata la usajili wa mchezaji Neymar kwenda Paris Saint Germain linazidi kushika hatamu.Taarifa mpya zinasema mbinu walizotumia FC Barcelona kumpata Neymar wakati akiwa mchezaji wa Santos ndio huenda...
View ArticleMayweather vs McGregor: Namna pambano hili linavyotabiriwa kuingiza trillion 2.5
Floyd Mayweather vs. Conor McGregor ni pambano ambalo litafafanua vizuri maana ya tukio tajiri la kimichezo mnamo August 26 wakati pambano hili litakapovunja rekodi zote za kifedha zilizowahi kuwekwa...
View ArticleMourinho Vs Guardiola nani kiboko kwa kumwaga mikwaja: Wametumia zaidi ya...
Kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, soka barani ulaya limeendelea kuwa biashara kubwa. Wachezaji wamekuwa wakiuzwa na kununuliwa kwa mabilioni ya pesa kutoka timu moja kwenda timu nyingine, ndani ya...
View ArticleMakinda wa kuchungwa EPL 2017/18
Na Salym Juma, Arusha Ligi kuu ya Uingereza ni miongoni mwa ligi 5 maarufu Duniani. Mara nyingi kabla ya kuanza kwa EPL, wachezaji kadhaa wamekuwa wakipewa nafasi ya kufanya vyema ila kumekuwa na...
View ArticleStarehe za Neymar huenda zikampeleka Dybala Camp Nou
Na Salym Juma, Arusha Brazil ni nchi inayopatikana Kusini mwa Amerika. Nchi hii imejaaliwa watu wenye Vipaji lukuki hasa mpira wa miguu. Brazil imejaaliwa warembo wazuri ambao wamekuwa wakipamba miji...
View ArticleBaada ya Morata kwenda darajani, tegemea pengo lake kuzibwa na mmoja kati ya...
Na Salym Juma, Arusha Real Madrid ni klabu tajiri yenye mashabiki wengi kila kona ya Dunia. kuna jarida moja liliwahi kuripoti kuwa ‘Pitch’ ya Real Madrid ina thamani kubwa kwani unaweza kuwa...
View ArticleKeita, Van Dijk na ‘mla bata’ Emerick Aubameyang watavyompa ubingwa wa EPL Klopp
Na Salym Juma, Arusha Liverpool ni timu kongwe nchini Uingereza na Ualaya kwa ujumla. Mataji ya Ulaya iliyochukua ukijumlisha na yale ya ligi kuu ya Uingereza yanaifanya timu hii kuheshimika zaidi...
View ArticleMorata utaiweza jezi No. 9? Wenzako walipotea Chelsea wakiwa na jezi hii
Na Salym Juma, Arusha Alvaro Morata ni mshambuliaji hatari ambaye amefanya makubwa Juventus na Real Madrid kiasi ambacho Chelsea wameshawishika kutoa £60m kumsajili mchezaji huyu kutoka Madrid. Ubora...
View ArticleSpurs na rekodi mbovu ya Wembley, wataendeleza mazuri ya White Hart Lane?
Na Salym Juma, Arusha White Hart Lane ulikuwa uwanja wa Tottenham Hotspur tangu mwaka 1899 hadi May 14, 2017. Uwanja huu uliokuwa unapatikana Kaskazini mwa jiji la London ulikuwa na uwezo mdogo wa...
View ArticleUtamu wa pesa za usajili huenda ukamfukuzisha kazi Guardiola mapema kabla ya...
Na Salym Juma, Arusha Pep Guardiola ni kocha anayesifika kwa mbinu za kipekee ambazo zilianza kumtambulisha pale Camp Nou tangu mwaka 2008. Dunia ilinyoosha mikono juu pale Pep alipoiongoza Barcelona...
View Article