Quantcast
Channel: Makala – ShaffihDauda
Browsing all 676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwenye sanduku la Ballon d’Or kura za Salah zitalindwa kweli?

Hakuna kitu kinachotafuna nyoyo za watu kama chuki na unafiki. Walio wengi hawapendi ukweli wa kile wasichokipenda uzidi kudumu. Tukiachilia ushabiki wetu na unazi tulio nao Mo Salah amekuwa na msimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zlatan anusurika kifo, asema Van Gaal ni Dikteta

Sehemu ya 6 Ilipoishia…. “Nilipoingia uwanjani tulikuwa chini magoli mawili. Nilikuwa namfokea kila mchezaji uwanjani. Hata nilipomfokea Zlatan nae alinifokea. Nikachukia sana kitendo cha Zlatan...

View Article


Yanga ‘inapasua’ Caf kwa mgongo wa waethiopia

Na Baraka Mbolembole MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Yanga wanapaswa kucheza kwa nidhamu kubwa ya kujilinda Jumatano hii mjini Awassa, Ethiopia ili kufuzu kwa mara ya pili hatua ya makundi ya Caf...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hughes na Watakatifu wa Liverpool wanaobipu kuzimu

Mwaka 2014 wengi walisifia sana kiwango cha Southampton Fc. Hata mimi binafsi walinikosha sana. Walifanikiwa kumaliza ligi kuu nafasi ya 8 kitendo kilichofanya kupokonywa Mkufunzi wake (Mauricio...

View Article

Hassan Dilunga maisha mapya, matumaini mapya, furaha moyoni

Kiungo wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga amesemaanafurahia maisha ya Manungu ambako ndio makao makuu ya klabu yake ya sasa na kusema anaamini maisha yake bado yataendelea kuwa mazuri ndani ya klabu hiyo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Barcelona walikula rambirambi wakidhani ni Ofa

  Na Priva ABIUD. Kwanza tuwekane sawa… Kwa daraja la Neymar Jr mpaka anafikia maamuzi fulani kwenye maisha yake ya soka, Kuna kundi kubwa la binadamu wenye akili nyingi limechangia mawazo… Kuanzia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Juventus wamchanganya Zlatan

Hii ni sehemu ya saba ikiwa ni mwendelezo wa makala kuhusu Historia ya Maisha ya Zlatan. Baada ya migogoro ya Muda mrefu Ajax Zlatan atimkia Juventus. Fabio Capello alipokuwa As Roma alimfukuzia sana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Pole sana Harry Kane lakini ukome

Rekodi zinavyomtumbukiza Hary kane kwenye dimbwi la unafiki na uroho. Mkurugenzi wa PFA (Shirikisho la Mpira ligi kuu England) amejikwaa kwa Familia ya Harry Kane. Waingereza ni wepesi sana kulalamikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Eti Mourinho hashindagi big mechi?

Na Priva ABIUD Ndani ya wiki saba Mourinho amebadili hali ya hewa. Amenyamazisha yale  makelele yaliyokuwa yanaendelea kuhusu uwezo wake katika mechi kubwa. Msimu uliopita rekodi ya Jose ya mechi kubwa...

View Article


Dar es Salaam-Pacha: Endelea kuiogopa Yanga, hatari ya Simba ni Kwasi na Gyan

Na Baraka Mbolembole LICHA ya kuachwa pointi 11 na viongozi wa ligi-mahasimu wao Simba SC, mabingwa watetezi Yanga SC wataendelea kuwa tishio kwa kikosi cha Pierre  Lechantre wakati timu hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tusimnafikie Iniesta huku tunamkebehi Salah

Iniesta amemaliza na Barcelona. Yupo sahihi kabisa. Barcelona ipo hivyo. Wana fadhila lakini hawana huruma. Umri ukienda hata kama kiwango chako ni kikubwa lazima uwapishe wadogo zako. Sawa....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

El classico Messi na Ronaldo nani kiboko?

Kwani mdau wewe upande gani? Upande wa La purga au Cr7 mnyamaa? Unaamini nani atafanya poa zaidi kati ya hawa miamba wa soka? Basi sawaa…. Ngoja mimi nikuletee takwimu za hawa jamaa walipokutana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndiye Kocha wa zamani wa Yanga aliye aga dunia

Mario: nianze na salamu zangu za siku ya kuzaliwa za Jack Chamangwana nimefanya kazi na wachezaji nguli wa soka wengi sana hapa Mobile Motors Limited (kwa sasa Toyota Malawi) na Jack alikuwa mmoja wao....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Guardiola amsifia Zlatan

Sehemu ya 9 simulizi ya maisha ya Zlatan Ibra alipoona kiwango chake kitaoza alituma barua ya kuomba kuuzwa. Lakini Guardiola alitaka kuficha ficha mambo kwa kudai kuwa Ibra haondoki. Ibra akatamka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchawi wa Zidane na Perez ni Kinyago cha Gazzaniga

Kule Rhodes magharibi mwa ufaransa alizaliwa jamaa mmoja alikuwa na akili sana. Jamaa huyu alikuwa akichonga vinyago vyake ambavyo vingi vilikuwa na muonekano wa umbo la mwanamke. Jamaa huyu aligundua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Harry Kane, Bill Gates hakulala na kuamka tajiri, alizifuata

Na Azizi Mtambo Maisha hayaji tu kwa kusimama sehemu moja. Inategemea pana ushawishi gani. Harry Kane, moja ya washambuliaji bora kabisa duniani akiwa na umri wa miaka 24. Muingereza huyu anasifika kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fred anaitaka United, Mwana FA kasema usije mjini

Nimesikia tetesi kuhusu Fred kujiunga na Man United. Awali ya hapo sikuwa namfuatilia sana ila nimewahi kumsikia sana. Nilishindwa kuwatofautisha kati yake na Malcom. Na nilitaraji siku moja waje...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kona Ya Fuku-Fuku: Ronaldo nje Bale ndani

⚽ Sio njema hizi ⚽ RONALDO NJE, BALE NDANI KATIKA UTAMBULISHO WA JEZI MPYA ZA REAL MADRID MSIMU WA 2018/19 JUMANNE ya leo klabu ya Real Madrid, imezitambulisha jezi zake rasmi ambazo watazitumia katika...

View Article

Mfupa wa Tukuyu Stars unavyotesa VPL

Gharib MZINGA Abdul Lausi na Joseph Ksyupa ni miongoni mwa majina ambayo yameacha historia kubwa katika soka la Mkoa wa Mbeya, vijana hawa wawili ndio waliotoa wazo la kuunganisha vilabu viwili vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Messi, Ronaldo, Neymar na wachezaji wengine 55 walio kwenye hatari kukosa...

Ni rahisi sana kupata kadi ya njano katika soka siku hizi hasa baada ya kutambulishwa kwa sheria mpya ya matumizi ya Video Assistance Referee maarufu kama VAR. Upatikanaji wa kirahisi wa kadi za njano...

View Article
Browsing all 676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>