Quantcast
Channel: Makala – ShaffihDauda
Browsing all 676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mechi za ‘viporo’ haziepukiki Yanga SC, Azam FC 2017

Na Baraka Mbolembole MICHUANO ya Caf inataraji kuanza mwezi Februari, 2017. Yanga SC wataiwakilisha Tanzania Bara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Azam FC watatuwakilisha katika michuano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: Ningemuacha Obrey Chirwa si Mbuyu kumpisha Justine Zulu Yanga

Na Baraka Mbolembole USAJILI wa kiungo, Mzambia, Justine Zulu katika kikosi cha Yanga SC katika dirisha hili la usajili unafanya idadi ya wachezaji wa kigeni katika timu kufikia nane. Ili kuendena na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu kwanini Nike wanaweza kuwa wamempunja CR7 kwenye dili la zaidi ya...

Kampuni ya vifaa vya michezo na mavazi ya Nike ilitangaza kusaini dili la maisha na star wa soka wa kireno Cristiano Ronaldo mapema mwezi uliopita. Dili la namna hii ni la 3 kuwahi kutokea katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa nini Mohamed Dewji ‘MO’ anaisaidia Simba badala ya kuidhamini?

Na Baraka Mbolembole Mara baada ya baadhi ya wanachama wa klabu ya Simba kukubali ‘mabadiliko’ katika mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo katikati ya mwaka huu, tajiri/mfanyabiashara na mwanachama wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hawa ndio wakali wa hat-trick kwa upande wa Arsenal Uefa Champion League

Na Athumani Adam Si jambo rahisi kufunga mabao matatu kwenye mechi moja yaani hat- trick kwenye michuano migumu ya ligi ya mabingwa barani Ulaya. Kuthibitisha hilo mshambuliaji wa Arsenal Lucas Perez...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Adios Twite, vazi la ukimataifa limekutoa Jangwani

Na Abdul Mkeyenge NIMEREJEA zangu Dar es Salaam jana jioni na leo asubuhi nimeamka mapema nikiwa na kazi moja tu. Nina kazi ya kuitafuta shajara yangu inayomuhusu Mbuyu Twite, kile kipande cha baba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3:  Kwa stahili hii, usajili Simba SC unaendelea kufanywa na...

Na Baraka Mbolembole MWISHONI mwa mwaka 2002, marehemu James Siang’a alitishia kuacha kazi yake ya kuifundisha Simba SC kama uongozi husingemsaini kiungo ‘maestro,’ Primus Kasonso kutoka Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ofisa wa TFF na mkasa wa kipa wa African Sports 1969

Na Zaka Zakazi Hatimaye mzizi wa fitna umekatwa na aliyepata, kapata…aliyekosa kakosa! Kamati ya katiba, sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka hapa nchini, TFF, imetoa hukumu juu ya kesi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jichola 3: Nimeyahifadhi maneno ya Geofrey Nyange ‘Kaburu’, bado ninasubiri...

Na Baraka Mbolembole “Nilienda uwanja wa Uhuru kumuangalia mtani wangu yupoje, lakini sikumuona huyo ‘mkata umeme’ nilimuona ‘kishoka’ tu,” ni maneno ya Geoffrey Nyange ‘Kaburu’, December 10, 2016....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

George Lwandamina na makocha wengine wapya raundi ya pili VPL 2016/17

Na Baraka Mbolembole LIGI Kuu ya kandanda Tanzania Bara (Vodacom Premier League 2016/17) inataraji kuendelea tena wikendi hii. Timu zote 16 zitaanza michezo ya mzunguko wa pili siku za Jumamosi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJE YA PITCH: Wepesi wa Gullit, ugumu wa Arsene Wenger mtoano UEFA

Na Athumani Adam Muda mchache kabla ya kufanyika droo ya hatua ya 16 bora michuano ya klabu bingwa barani Ulaya kwa msimu huu, nilimsikia gwiji wa zamani wa vilabu vya Chelsea, AC Milan na timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiganja yupo kiganjani  mwa wanasimba

Na Hemed Kivuyo Mkutano mkuu wa dharura wa wanachama wa Simba uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam umemweka kiganjani Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohamed kiganja. Aliwahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bradley Lowery, Mtoto Anayependa Soka huku Akipambana na Saratani.

Kijana Bradley Lower ni shabiki mkubwa wa klabu ya Sunderland. Bahati mbaya ni kuwa pamoja na mapenzi yake makubwa ya mchezo huu, maisha yake yapo hatarini kutokana na kusumbuliwa na maambukizi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Duncan Fergusson: Mhuni aliyegeuka Malaika

Kama umependa soka kwa muda mrefu na kama unavutiwa na soka la kibabe basi jina la Duncan Fergusson haliwezi kuwa geni machoni na kwenye ngoma za masikio yako. Mshambuliaji huyu ambaye alishuhudia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chelsea: Kuleni, Shangilieni lakini Msilale kwenye Sherehe

Kwa Msaada wa Daily Mail.   Mwaka mmoja una siku 365, siku ambazo zinaweza kuwa na mabadiliko kwa kiasi kikubwa, siku ambazo jua linazama, linachwea, kunatokea mvua kisha kiangazi. Mojawapo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ngasa hakujielewa 2009, tunamuelewaje 2016?

Na Abdul Mkeyenge MOJA ya nukuu ninazozipenda ni ile inayosema ukimuelewa Mwanamke umeielewa dunia. Hii ni nukuu inayopendwa kutumiwa na rafiki yangu Ally Kamwe katika maandiko yake matakatifu. Dunia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: Yanga inakwenda kileleni kwa mara ya kwanza, hawatashuka tena…

Na Baraka Mbolembole BAADA ya kukamilisha usajili wa washambuliaji Emmanuel Martin na kiungo mkabaji raia wa Zambia, Justine Zulu kocha mpya wa kikosi hicho Mzambia, George Lwandamina ataisimamia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikiwa waamuzi, makocha, wachezaji na bodi ya ligi watafanya haya, VPL itakuwa...

Na Baraka Mbolembole LIGI Kuu Tanzania Bara (Vodacom Premier League) inataraji kuendelea tena siku ya kesho Jumamosi na siku ya Jumapili hii. Michezo minne itachezwa kesho katika miji ya Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtazamo VPL: ‘Mkata Umeme’ umewaona Kamusoko, Niyonzima, wewe unakuja vipi?

Na Athumani Adam Nilipata nafasi ya kuitazama Yanga kwenye mechi yake ya mzunguko wa pili ligi kuu Tanzania bara siku ya Jumamosi dhidi ya Jkt Ruvu, mchezo ambao Yanga waliibuka na ushindi wa mabao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Nimevutiwa na dakika 90’ za kwanza za Lwandamina, Kaseja, Agyei, Abdi Banda,...

Na Baraka Mbolembole Kocha huyu raia wa Zambia aliisimamia Yanga kwa mara ya kwanza katika mchezowa ligi kuu. Lwandamina aliyechukua nafasi ya Mholland,Hansvan der Pluijm ambaye sasa ni Mkurugenzi wa...

View Article
Browsing all 676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>