Jicho la 3: TFF ‘wameshaharibu utamu wa ligi,’ ni Simba vs Yanga,Azam FC...
Na Baraka Mbolembole KULIKUWA na ulazima gani wa ligi kuu Tanzania Bara kuendelea Disemba 17 na 18? Najiuliza ni kwanini Shirikisho la Soka nchini-TFF linashindwa kutambua na kupanga muda sahihi wa...
View ArticleJuma Liuzio: Simba wanichukulie mimi kama wao, wasubiri mambo mazuri kutoka...
Na Baraka Mbolembole Baada ya kuona safu yao ya mashambulizi ‘haina makali’ katika ligi kuu Tanzania Bara 2016/17, klabu bingwa ya zamani ya Tanzania Bara iliomba ‘msaada’ katika timu...
View ArticleNgumu Kumeza ya kufungia mwaka 2016
Naingia bar moja karibu na makaburi ya Kinondoni nakutana na jamaa mmoja, anaponiona anaropoka kwa nguvu akisema, umechelewa kidogo sana, ungekutana na wanaodogodesha mpira hapa nchini walikuwepo...
View ArticleJicho la 3: Nilichokiona baada ya dadika 90’ za kwanza Pastory Athanas...
Na Baraka Mbolembole DAKIKA zake 90’ za kwanza kama mchezaji wa Simba SC zilimalizika vizuri, na zimemuachia kumbukumbu nyingine nzuri katika maisha yake ya soka. Alianza katika safu ya...
View ArticleMaoni ya Shaffih Dauda baada ya Azam FC kufukuza makocha wao
Baada ya Azam FC kuwafuta kazi makocha wao wa kigeni, kumekuwa na maoni mengi ya wadau wa soka nchini. Mchambuzi mashuhuli wa masuala ya soka Shaffih Dauda kutoka Clouds Media Group na yeye ametoa...
View ArticleMTAZAMO VPL: MO anavyopunguza uongo na kuibeba Simba
Na Athumani Adam Frank Lampard hakuwa mahiri sana kwenye kuchezea mpira kama alivyokuwa Austin Jay Jay Okocha, kwa lugha ya kisasa ya mpira kina Okocha wanaitwa ‘Waongo waongo’. Lakini licha ya...
View ArticleDkt. Jonasi Tiboroha ametaja mbinu 8 za kupata matokeo katika michezo
Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga SC Dkt. Jonasi Tiboroha amepost andiko kwenye ukurasa wake wa facebook kueleza namna ambavyo timu inaweza kupata matokeo kwenye mechi. Nasikiliza redio, natazama TV na...
View ArticleJicho la 3: Saad Kawemba ameshindwa, Hans van der Pluijm ndiye mtu sahihi wa...
Na Baraka Mbolembole Awali sikuwa shabiki wa Hans van der Pluijm lakini miaka yake miwili na nusu kama kocha wa Yanga SC nitabaki kuamini ni kocha bora zaidi katika muongo wa pili wa karne mpya. Hans...
View ArticleTBT Makala, Mwaka Moja Uliopita: Zidane Tizama Nyuma Ya Miwani Ya Perez
Muasisi wa Taifa hili, hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia 1999 Oktoba 14. Huu ulikuwa takribani mwaka mmoja tangu Zinedine Zidane atwae taji la ubingwa wa dunia huku akifunga mara...
View ArticleKwa Msuva huyu, Azam itatoka?
Yanga vs Azam ndio game inayosubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa soka usiku wa leo kuanzia majira ya saa 2:15 usiku ikiwa ni mchezo wa kukamilisha mechi za Kundi B katika michuano ya Mapinduzi Cup...
View ArticleJicho la 3: Simba SC v Yanga SC, balaa likukute, usilifuate…
Na Baraka Mbolembole GEORGE LWANDAMINA anapaswa kufanya mabadiliko ya wachezaji kutoka katika kikosi ‘kilichosambaratishwa’ 4-0 na Azam FC katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi itakapowakabili...
View Article‘Msimamizi Majimaji vs Yanga alimwambia mwamuzi ahakikishe Yanga inapoteza...
Na Baraka Mbolembole HUSSEIN Athumani alishindwa kuwapa Majimaji FC mkwaju wa penalty katika mchezo uliopita dhidi ya mabingwa watetezi Yanga SC. Mlinzi wa Yanga, Juma Abdul aliunawa mpira ndani ya...
View ArticleMjadala wa kesi ya Lufunga ndani ya Sports Extra
Maamuzi ambayo yametolewa na Kamati ya saa 72 ya TFF kuhusu rufaa ya Polisi Dar dhidi ya mchezaji wa Simba Novalty Lufunga imekuwa ni issue ambayo ina-trend sana kwenye mitandao ya kijamii pamoja na...
View ArticleJicho la 3: Simba SC ‘wamepoteza’ haki ya kushiriki FA Cup, watachapwa na...
Na Baraka Mbolembole USAJILI ‘mbovu,’ umakini mdogo, mapenzi yaliyopitiliza, na uwezo mdogo wa watendaji wa Simba SC katika utunzaji wa kumbukumbu muhimu za timu yao kwa mara nyingine unawaangusha....
View ArticleWayne Rooney na mabao yake 250, Abdallah ‘King’ Kibaden na hat-trick yake
Na Makoleko Kalibonge II JUMAMOSI 21 Januari, 2017, mshambuliaji wa kimataifa wa England Wayne Rooney alifunga bao ambalo liliamua matokeo ya aina mbili: kwanza lilikuwa bao la kusawazisha na kuipa...
View ArticleWenger hastahili mkataba mpya Arsenal, akisaini yeye ni mkubwa kuliko Arsenal
Na Frank Lelo Arsene Wenger ni kocha wa kipekee kabisa kwenye ramani ya soka. Ni kocha ambae Arsenal imempa uhuru mkubwa wa kufanya kazi na kufanya maamuzi makuu kuhusu timu kuliko kocha yoyote kwenye...
View Article‘Mechi tano, magoli manne, pointi 3, yatakuwa mafanikio makubwa Simba’
Na Baraka Mbolembole SIMBA SC walipokea kipigo cha tatu msimu huu siku ya Jumamosi iliyopita na mabingwa watetezi Yanga SC walifanikiwa kupata ushindi wa 14 katika ligi kuu Tanzania bara na...
View ArticleNini kinaiua Ndanda FC?
Na Makoleko Kalibonge II HAKUNA timu inayopeanda kushuka daraja. Ni kwa sababu ya utaratibu tu uliowekwa kulingana na matakwa ya ligi husika kuwa, ligi itakuwa na timu kadhaa kwa msimu na timu kadhaa...
View ArticleJicho la 3: Sababu 4 muhimu ambazo zinawabeba Yanga kuelekea taji la 3...
Na Baraka Mbolembole MICHEZO kumi kuelekea mwisho wa msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2016/17 mabingwa watetezi Yanga SC wamerejea katika kilele cha msimamo wakiwa na alama 46 baada ya...
View ArticleJicho la 3: Sababu 3 za kushuka kwa soka la Morogoro licha ya vipaji vingi...
Na Baraka Mbolembole Mawenzi Market inakaribia kupanda daraja-kutoka ligi daraja la Pili hadi ligi daraja la kwanza Tanzania Bara msimu ujao. Polisi Moro FC inaweza kurejea ligi kuu kwa mara ya nne...
View Article