HADITHI ZA PAUL POGBA NA CHANGAMOTO ZA LIGI YA ENGLAND
Ikiwa kama Paul Pogba atasajiliwa na Manchester United kwa ada ya uhaisho ambayo inatajwa kuvunja rekodi, basi itathibitisha rasmi utajiri uliopo kwenye ligi ya England. ligi ambayo ndio maarufu...
View Article‘MECHI 3 YANGA SC WEWE BADO UNAMSUBIRIA TU OBREY CHIRWA?’
Na Baraka Mbolembole LICHA ya kusajili kwa matarajio makubwa katika klabu ya Yanga SC akitokea FC Platnum ya Zimbabwe, kiungo-mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa ni kama tayari ‘amejiweka’ katika...
View ArticleCHUNGU, TAMU, MIEZI 32 YA MAZLINZI TFF – Part IV
Na Lasteck Alfred ZIMEBAKI siku chache, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, atimize miaka mitatu tangu aiingie madarakani usiku wa kuamkia Oktoba 28, 2013 kuliongoza shirikisho...
View ArticleJAVIER MASCHERANO – NAHODHA ASIYEVAA KITAMBAA UWANJANI
Katika dirisha hili la usajili wa majira ya kiangazi, Barcelona wamepoteza mchezaji mmoja ambaye amekwenda Juventus. Si mwingine bali ni Dani Alves, huyu aliitummikia Barcelona kwa uaminifu mkubwa kwa...
View ArticleMANENO YA SCHWEINSTEIGER BAADA YA KUTANGAZA KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA
Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger ametangaza rasmi kustaafu soka la kimataifa baada ya kucheza michezo 120 kwa taifa lake la Ujerumani. Schweinsteiger (31) ni moja ya wachezaji...
View ArticleJicho La 3: MO, KARIBU SANA SIMBA SC, NIONE TIMU YA NDOTO ZANGU…
Na Baraka Mbolembole Alhamisi hii rais wa klabu ya Simba SC, Evance Aveva alisema kwamba ni wanachama pekee wa klabu hiyo ambao watatoa mwelekeo mpya wa klabu, kutoka mfumo wa sasa wa kutegemea...
View ArticleNIONAVYO MIMI: MO APEWE SIMBA, LAKINI SIYO KWA HISA ZA 51%
Na Zaka Zakazi Mohamed Dewj, Mo, kupitia kampuni yake ya Mohammed Enterprises aliidhamini Simba katika vipindi viwili. Kipindi cha kwanza kilikuwa kuanzia 1999 mpaka 2001 ambacho kilikuwa na udhamini...
View ArticleNIONAVYO MIMI: MO APEWE SIMBA LAKINI SIYO KWA 51% – 2
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilianza kwa kumjadili Mo na historia yake ndani ya Simba. Nilienda mbali nakukumbushia kidogo kilichokuwa kikitokea zamani enzi za wafadhili. Kwa kifupi,...
View ArticleZLATAN HAWEZI KUWA MFALME WALA LEGEND LABDA SEHEMU NDOGO YA MASHUJAA WA MAN...
Na Mahmoud Rajab Muda uliokuwa ukisubiri wa na watu wengi juu ya Zlatan sasa umewadia. Wiki nne zimeshapita tangu mchezaji huyo ambaye anaaminika kuwa na ‘personality’ kubwa kuthibitishwa kuwa...
View ArticleBiashara mbaya za usajili za Barca katika muongo 1 uliopita
Uhamisho wa Adriano Correia kwenda Basiktas kwa ada ya uhamisho wa 600,000 euros ni maamuzi mengine mabaya katika soko la usajili yaliyofanywa na bodi ya klabu ya FC Barcelona. Tuangalie maamuzi...
View ArticleKila unachohitaji kujua kuhusu soka katika Olympic 2016
Mchezo wa soka haukwemo kwenye mashindano haya mara mbili tu, mwaka 1896 na 1932. Kuelekea mashindano ya Olympic ya mwaka huu vifuatavyo ndio vitu unavyopaswa kujua kuhusu mchezo wa soka katika Rio...
View ArticleJicho la 3: ‘MSISHANGILIE MABADILIKO YASIYO RASMI HIVI SASA, JIULIZENI PIA NI...
Na Baraka Mbolembole WAKATI baadhi ya wanachama/mashabiki wa klabu ya Simba SC walipojaribu kutaka kumshambulia mwenyekiti wa kamati ya usajili, Zacharia Hans Poppe mara baada ya timu yao kupoteza 1-0...
View ArticleTFF NI WAKALA WA VILABU?
Na Isack Makundi, Babati -Manyara TFF kirefu chake ni Tanzania Football Federation, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia mvutano juu ya mapato kati TFF na vilabu hasa hivi vikubwa (Yanga na Simba) kuwa...
View ArticleMCHANGANUO HUU WA USAJILI WA POGBA NI FUNZO KWA VILABU NA WACHEZAJI
Kwa takriban mwezi mmoja sasa, suala la uhamisho wa kiungo wa Juventus Paul Pogba limekuwa ni habari kubwa mno kutokana na pesa anayotajwa kutaka kununuliwa na Manchester United. Uhamisho wa Pogba...
View ArticleKAMA NI KWELI, YANGA INAFANYA MAKOSA KATIKA AFYA YA HAJI MWINYI
Na Baraka Mbolembole KIPAJI kikubwa cha uimbaji cha Ray C na Chid Benz kimekwamia katika matumizi ya madawa ya kulevya ‘Janga hatarishi zaidi kwa vijana hivi sasa.’ Kuna picha imeendelea kusambaa kwa...
View ArticleMAFANIKIO YA LA MASIA BAADA YA FC BARCELONA KUNUNULIWA 1954, MO ATAFUATA…?
Na Baraka Mbolembole Baada ya uongozi wa Simba SC kufungua mazungumzo rasmi na tajiri Mohammed Dewji kuelekea mpango wa mabadiliko-kutoka mfumo wa kadi hadi Simba kampuni wengi wamekuwa na shauku ya...
View ArticleKWANINI SANE AMEFANYA MAAMUZI YA KUTUA MAN CITY CHINI YA GUARDIOLA?
Kila mchezaji ana aina ya uchezaji ambayo humvutia mtazamaji. Na kila kocha ana aina ya mfumo ambao kuna baadhi ya wachezaji wanaweza kuendana nao na wengine kushindwa kabisa. Kuna namna mchezaji mpya...
View ArticleZitto Kabwe: Sababu zangu kwanini Naunga mkono MO kuwekeza Simba ila asipewe...
20 Billions Tshs Endowment Fund for Simba SC ni moja ya pendekezo bora zaidi kutolewa na Mwanamichezo nchini kwetu. Mohamed Dewji anapendekeza kuwa yeye atatoa tshs 20bn na kuziweka kwenye Endowment...
View ArticleYANGA NI MABINGWA WA TANZANIA MARA 25, SIYO 26!
Na Zaka Zakazi Mei 22, 2016, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Ally Upapa ‘Canavaro’ aliinua kwapa kupokea kombe la ubingwa wa Tanzania uliohesabiwa na shirikisho la soka hapa nchini TFF kama ubingwa wa...
View ArticleTaribo West: Hivi ndivyo Nigeria tulivyoweka historia Olimpiki 96
Mnamo 3 August 1996, Nigeria ilitengeneza historia ya kuwa nchi ya kwanza ya kiafrika kuwa mabingwa wa Olympic iliyofanyika Atlanta nchini Marekani. Kwa Taribo West, mchezaji wa zamani wa vilabu vya...
View Article