HATA SIR FERGUSON ALITUMIA ‘MKWANJA MREFU,’ ACHA POGBA AVUNJE REKODI…
Na Baraka Mbolembole MICHEZO 1500 ilitosha kwa Sir Alex Ferguson kutengeneza jina kubwa katika ‘miongo’ yake miwili na nusu pale Old Trafford. Wakati, Fergie alipoamu kustaafu ghafla mara baada ya...
View ArticleChangamoto 5 zinazomkabili Zidane kuelekea Super Cup vs Sevilla
Real Madrid watacheza dhidi ya Sevilla katika mchezo wa 3 mfululizo wa UEFA Super Cup ambao utahusisha timu timu za Hispania pekee, mnamo tarehe 9 August pale Trondheim Norway. Mnamo 18 May,...
View ArticleTANZANIA NA KIFO CHA OLIMPIKI
Na Zaka Zakazi Leo Agosti 5, 2016, michezo ya 31 ya Olimpiki itafunguliwa rasmi jijini Rio nchini Brazil. Tanzania itakuwepo! Katika michezo ya mwaka huu, Tanzania itawakilishwa na wanamichezo saba;...
View ArticlePogba ana kiporo alichobakiza Old Trafford – na hivi ndio Man Utd...
Paul Pogba bado hajasaini mkataba wa kujiunga na Manchester United, lakini anataka kujiunga na klabu aliyowahi kuichezea na klabu hiyo pia inamhitaji. Sio kwa mara ya kwanza, uhamisho mkubwa...
View ArticleTATHMINI YANGU KUHUSU OMBI LA LA MANJI KUIMILIKI TIMU HIYO KWA ASILIMIA 75
Na Samuel Samuel Awali ya yote ningeomba tuitambue kwa ufupi sana klabu hii ya Young Africans ‘Yanga’ tangu ilipoanzishwa, maendeleo iliyofikia , mifumo ya uendeshaji toka kuanzishwa kwake na...
View ArticleMTAZAMO WA JERRY MURO KUHUSU MANJI KUPEWA YANGA
Ndugu zangu kabla ya kuanza kutoa comment napenda sana tujue historia ya uendeshaji wa club na mpaka hapa club ilipofika kisha ndio tuje kwenye hoja ya msingi. Kwa kifupi club imekuwa haitengenezi...
View ArticleMATCH PREVIEW- LEICESTER CITY USO KWA USO NA MAN UNITED NGAO YA JAMII LEO
Na Mahmoud Rajab Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England Leicester City leo wana kibarua kizito pale watakapokuwa wakichuana na Mabingwa Watetezi wa Kombe la FA Manchester United kwenye mchezo wa...
View ArticleNgao ya Hisani: Mourinho mwenye rekodi mbovu vs Ranieri mgeni wa Wembley
Baada ya kusubiri kwa takribani miezi 3, hatimaye ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2016/17 unafunguliwa leo kwa mchezo kombe la Ngao Ya Hisani kati ya washindi wa EPL Leicester vs mabingwa wa FA...
View ArticleMAN UNITED HII, KUNA ZLATAN HALAFU KUNA MOURINHO
Na Mahmoud Rajab Jose Mourinho ni moja ya makocha ambao wamejaa ari ya ushindi, ni kocha anayejua afanyeje ili apate ushindi, ni kocha ambaye anajua apite wapi ili achukue taji au ubingwa wowote kwa...
View ArticleJicho La 3: YANGA SC ‘ITATUSUA’ ILA MANJI ANAIKODI KWA KANUNI/TARATIBU GANI?
Na Baraka Mbolembole Katika dunia ya sasa kufanikiwa katika jambo lolote ni lazima kuwe na maandalizi ya kweli katika jambo husika. Lakini katika karne hii ya 21 jambo moja zaidi linalo changia...
View ArticleYANGA NA SIMBA ZIENDE MANUNGU NA MABATINI ILI KUENDELEZA DHANA YA MPIRA NI...
Na Thabith Chumwi Zakaria Bolivia ni nchi iliyopo zaidi ya mita 3000 juu ya usawa bahari. Uwanja wao wa taifa, Estadio Hernando Siles, upo mita 3,637 juu ya usawa wa bahari. Kisayansi, kadri...
View ArticleHODI JANGWANI
Na Isack Makundi, Babati-Manyara Napenda kumshukuru Mungu kwa wema wake mkubwa kwa amani ambayo ameendelea kutupa Tanzania wengine wanaitamani lakini hawaipati. Napenda kutoa pongezi zangu za dhati...
View ArticleUJIO WA POGBA NA KUREJEA KWA HESHIMA YA MANCHESTER UNITED ULAYA
Na Mahmoud Rajab Katika hali yoyote ile mtu kupata mafanikio kila wakati hujisikia vibaya pale anapopita kwenye changamoto kubwa ya kutopata ile raha aliyozoea kwa muda mrefu. Katika mchezo wa soka,...
View ArticleHISTORIA YA JEZI NAMBA ‘6’ MANCHESTER UNITED KATIKA EPL
Mnamo msimu wa mwaka 1992-1993 ligi kuu ya nchini England ilianza kutambulika kama ‘ENGLISH PREMIER LEAGUE (EPL) ‘ Ni ligi inayohusisha Club 20, Manchester ikiwa ni moja ya timu ya mpira inayoshiriki...
View ArticleYANGA V BEJAIA NI NAFASI YA MWISHO KWA MABINGWA WA BARA
Na Baraka Mbolembole MABINGWA na wawakilishi pekee wa Tanzania Bara katika Caf Confederation Cup 2016, timu ya Yanga SC kesho Jumamosi wataikabili MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa kundi la...
View ArticleYANGA NA SIMBA JE NANI AMELAMBA BINGO KATIKA MCHAKATO WA MABADILIKO?
Na Iddi Pagali Wadau kutokana na vilabu vya Yanga na Simba kuwa katika michakato tofauti ya kuingia katika katika soka la ushindani kimataifa ni vema nitoe maoni yangu binafsi juu ya faida na hasara...
View ArticleUBAHILI WA ARSENAL NA UBORA WA WAPINZANI WAO MSIMU WA 2016-17
Na Mahmoud Rajab “Hatuwezi kushindana au kwashinda washindani wetu ambao wana pesa nyingi kuliko sisi. Tunapaswa kuwa makiini sana, kufanya machaguo sahihi.”Hayo nia aina ya maneno ambayo kwa miaka...
View ArticleEPL: Arsenal vs Liverpool, nani kuuanza vyema msimu jumapili hii
Ligi kuu ya England imerejea tena baada ya kuisubiri kwa takribani miezi 3, na katika wikiendi ya kwanza tu, tunabahatika kushuhudia mchezo wa timu kubwa: Arsenal vs Liverpool. Kuelekea pambano hilo...
View ArticleUFUNGUZI WA LIGI YA UINGEREZA KWA UNDANI WAKE
Kuanzia leo tarehe 13 Aug mpaka 28 Aug, Pep Guardiola na Man City yake watakuwa na michezo 5, pamoja na ile ya Ulaya. Karibu katika Epl Pep, huu ndio mfano wa yanayotokea mwezi Desemba, mtunze sana...
View ArticleARSENAL MSIMU UNAANZA, KUNA KIPI CHA KUTARAJIA?
Na Richard Leonce Mimi si mpenzi sana wa usajili wa zimamoto wala usajili wa wachezaji ambao huwa wanakuta tayari ligi imeanza kwa maana ya kwamba wanakua wamekosa maandalizi ya msimu na wenzao. Ndiyo...
View Article