Quantcast
Channel: Makala – ShaffihDauda
Browsing all 676 articles
Browse latest View live

Liverpool Wasikosee, Coutinho Hana DNA Ya Ubingwa.

Waliwahi kuishi Steven Gerrard ambaye aliiweka klabu ya Liverpool mabegani na kuhakikisha kuwa haizami kwenye kina chochote cha bahari, alikuwepo siku zote na alikuwa mtakatifu nyakati ambazo Liverpool...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushahidi wa kitakwimu unaonyesha Pogba ni zaidi ya Kante

Umekuwa mwaka wa matukio mengi kwa kiungo wa Manchester United – Paul Pogba. Jambo la kwanza lilimuhusisha na biashara iliyochukua muda mrefu zaidi wakati wa dirisha la usajili la kiangazi kabla ya...

View Article


Jicho la 3: ‘Ni lazima Lwandamina ashinde vs Azam FC vinginevyo  atakuwa si...

Na Baraka Mbolembole NI ALAMA za nyakati ambazo kocha George Lwandamina anatakiwa kuzisoma kuhusu ubora wa wachezaji wake. Baadhi ya watu wanasema nyota wengi wa kikosi cha Yanga SC umri ‘umewatupa’...

View Article

Kagera inaweza kuifunga Simba ikiwa Mexime, Mbaraka Yusuph, hawatokuwa na...

Na Baraka Mbolembole WAKATI ushindi wa aina yoyote dhidi ya Azam FC  leo Jumamosi utawapeleka mabingwa watetezi Yanga SC katika kilele cha msimasmo wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC kesho Jumapili...

View Article

Jicho la 3: Jerry Murro aliipeleka ‘Yanga moja’ uwanjani, Manara anawagawa...

Na Baraka Mbolembole “Uwezo wa Kamusoko ni sawa na viungo watatu wa Simba…” ni kauli iliyoendana na ukweli, na mtamkaji (Jery Muro) alimaanisha kile alichokiona Februari 2016 wakati kiungo huyo raia wa...

View Article


Mbaraka Yusuph, Singano, Mkude na nyota hawa watano wataipaisha zaidi Yanga…

Na Baraka Mbolembole KABLA ya kuanza ‘kutupa macho’ sehemu nyingine, kocha George Lwandamina anapaswa kuangalia ni wachezaji gani wanapaswa kusajiliwa tena na Yanga SC miongoni mwa wale waliopo...

View Article

Jicho la 3: Kabla ya kwenda ‘uwanja wa moto’, Lwandamina aitumie kauli yake...

Na Baraka Mbolembole WAKATI ‘anachukua kazi’ iliyokuwa wazi baada ya Mholland, Hans van der Pluijm kubadilishiwa majukumu klabuni Yanga SC mwezi Disemba, 2016 kocha Mzambia, George Lwandamina alitamba...

View Article

Huyu ndio Hassan Kabunda anayetamani kucheza na CR7

Na Zainabu Rajabu JINA la Hassan Kabunda linaweza kuwa geni masikioni mwa watu, lakini wapo wanaomkumbuka beki wa zamani wa Tukuyu Stars, Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kakakuona, Salum...

View Article


Kuna Messi Mmoja, Maradona Mmoja, na Dyabala Mmoja tu. Paulo Dyabala Na Ndoto...

Kama ilivyokuwa kwa kila mtu nchini Italia, Paulo Dyabala aliathirika kwa kiasi kikubwa na balaa la Edoardo Di Carlo na Samuel Di Michelangelo, vijana wawili waliobaki yatima kutokana na maporomoko ya...

View Article


Jicho la 3: Si kila timu inaweza kununuliwa, ila nilichokiona Mbao 2-3 Simba ni…

Na Baraka Mbolembole KWANZA niwapongeze Simba SC. Kutoka nyuma 2-0 hadi dakika nane kabla ya kumalizika kwa mchezo, kisha kushinda 3-2 baada ya dakika 90 ni jambo la kujivunia kama timu. Hasa...

View Article

Kisima Cha Barcelona na Miguu Ya Neymar Ndani Yake.

Ndani ya ubongo wa kocha wa timu ya Taifa ya Brazil, Tite anaamini kuwa hakuna mchezaji aliyekuwa kwenye kiwango bora zaidi ya Neymar kwa sasa. Kwake miguu ya mchezaji huyu ndiyo yenyewe thamani kubwa...

View Article

Jicho la 3: Kwa nini 4-5-1 itawamaliza Waarabu? Kessy, Msuva katika wings,...

Na Baraka Mbolembole KUJIONDOA kikosini kwa kiungo-mshambulizi, Mzambia, Obrey Chirwa kuelekea mchezo wa Caf Confederation Cup siku ya Jumamosi hii sidhani kama ni tatizo katika kikosi cha Yanga SC....

View Article

Simba wameshaanguka, TFF hatari zaidi kwa Yanga katika mbio za taji la 3...

Na Baraka Mbolembole KAMATI ya masaa 72 inajaribu kuingilia matokeo ya ndani ya uwanja na kumaliza mbio za Simba SC kurejesha ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuukosa kwa misimu minne...

View Article


Mjadala ndani ya Sports Extra kuhusu utata unaoendelea kufunika pointi 3 za...

Jana April 17, 2017 katika kipindi cha Sport Extra cha Clouds FM uliibuka mjadala mkubwa wakati Alex Luambano na Shaffih Dauda wakijadili kuhusu Kamati ya Katiba Sheria na Hadhi za wachezaji kukutana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sababu 5 kwanini Barca anaweza kugeuza matokeo na kufuzu vs Juventus

Barcelona wanahitaji historia nyingine leo usiku ili kuendelea kubaki katika michuano ya ulaya – ni ngumu lakini kuna sababu za kuamini kwamba kikosi cha Luis Enrique kinaweza kufanya maajabu tena...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Van De Sar Anapanga Aly Mayay na Boniphace Pawasa Wanachagua.

Kiungo wa zamani wa vilabu vya Simba, Yanga na timu ya Taifa, Athumani Idd “Chuji” aliwahi kusema kwenye kipindi cha Sports Xtra cha Clouds Fm kuwa alishangazwa walipoenda kucheza mechi za klabu...

View Article

Njaa na Kilio cha Neymar, Shibe ya Kulevya ya Messi na Iniesta

Wakati mchezo kati ya Barcelona dhidi ya Juventus ukiendelea wengi walikuwa wanatizama na kusikiliza filimbi ya mwamuzi Bjorn Kuipers itaaamua nini. Wengi walikuwa wanasubiri baraka za waamuzi na...

View Article


Tulipomhukumu Nyosso kwa jezi zake alizovaa

Na Abdul Mkeyenge TANZANIA ina Juma Said Nysso mmoja tu yule ambaye hajawahi kubadilika matendo yake uwanjani na nje ya uwanja. Nyosso wa Ashanti United wa Manyema wa Simba wa Mbeya City wa Friends...

View Article

Jicho la 3: Kama ningekuwa katika nafasi ya Aveva/MO Dewji ningefanya...

Na Baraka Mbolembole Geofrey Nyange Kaburu ana nyadhifa ngapi katika soka la Tanzania? Tatizo la soka la Tanzania linaanzia hapo na msemaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara yuko sahihi kabisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Karibu Mbappe, Tumeona Nyama Alizokula Ronaldo, Tunawaza Mifupa Utakayoitafuna.

Usiku wa tarehe 12 April, kinda huyu aliyewahi kuruka hatimaye aliweka rekodi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kufunga mabao mawili katika mchezo mmoja kwenye hatua ya mtoano. Ndio, anaitwa Mbappe...

View Article
Browsing all 676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>