Quantcast
Channel: Makala – ShaffihDauda
Browsing all 676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: ‘Kibabu’ Mwanjali ameanza vyema, ila Ngoma…

Na Baraka Mbolembole MICHEZO yake mitano ya mwanzo klabuni Simba SC, mlinzi wa kati, Mzimbabwe, Method Mwanjali ameonekana kuwa beki mtulivu, anayeweza kujipanga vizuri na kuupanga ukuta wote....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FALSAFA ZA ROCCO, BENCHI LA FAGREGAS

Ukifungua vitabu vya kumbukumbu kuhusu soka, utalikuta jina la Nereo Rocco. Rocco ndiye mwanzilishi wa soka la kujilinda zaidi  kuliko kushambulia maarufu kama Catenaccio. Alipokuwa AC Milan mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wayne Rooney, hivi unajua dunia ilishapata usawa

Na Gascoigne Brian Maisha yanakwenda kasi sana siku hizi. Kuna wakati Martial alikuwa ameiweka Man United katika mgongo wake, zama zinakwenda sana siku hizi, hata kule Britania Stadium mahala ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama unaongopa kuhusu Rajabu Msoma, mengine je itakuaje?

Na Athumani Adam Natambua safari ya maisha ya soka kwa baadhi ya wachezaji. Mmoja wao ni kiungo wa zamani wa Simba SC mwishoni mwa miaka ya 1990, Marehemu Rajabu Msoma. Marehemu ni kama alijitoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MKE WA MAGIC JOHNSON AFUNGUKA KUHUSIANA NA MAISHA YA MAAMBUKIZI YA...

Wengi wanamkumbuka moja ya wachezaji bora kuwahi kugusa mpira wa kikapu, Earvin “Magic” Johnson Jr ambaye alileta ladha tofauti katika mchezo huu na kuufanya kuwa wa kipekee hasa kwenye nafasi yake ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CONTE, KWA SASA FABREGAS NI SUMU

Antonio Conte ni moja kati ya makocha bora na wenye akii nzuri ya mpira pamoja na falsafa ambazo zimekuwa zikimpa matokeo pamoja na mafanikio kwa kipindi kirefu sana. Kama makocha wengine naye ana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSN vs Torres, Gameiro & Griezmann – Nani kuibuka kidedea usiku wa leo.

Moja ya mechi kubwa katika ulimwengu wa soka inachukua nafasi yake leo usiku katika uwanja wa Camp Nou – mabingwa watetezi wa La Liga FC Barcelona wataikaribisha Atletico Madrid.  Kiuhalisia pambano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matarajio na uhalisia wa Oktoba 1

Na Ayoub Hinjo Ndugu msomaji,hakuna asiye fahamu kuwa siku za hivi karibuni kutakuwa na mechi ya watani wa jadi hapa Tanzania,Simba na Yanga. Ni mechi ambayo imeteka hisia za wapenda soka wengi hapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wadachi wamezimika ghafla kama mshumaa uliowashwa baharini

Na Ayoub Hinjo Umebahatika kukitazama kikosi cha Waholanzi kipindi hiki cha karibuni!? Kama hujapata nafasi hiyo shukuru sana kwa kukosa nafasi ya kuyanusuru macho yako sababu inaweza kukuumiza moyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tony Martial aliye katikati ya kufaulu na kufeli

Na Ayoub Hinjo Matarajio ya wengi yanaonekana kupishana na uhalisia ambao umeonekana kwa muda mfupi tu ambao ligi imeanza. Ukimtoa Zlatan Ibrahimovic, Mourinho na Pogba mashabiki wa Manchester United...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Remember the name, it’s Wayne Rooney (kumbuka jina, ni Wayne Rooney)

Na Ayoub Hinjo Ilikuwa tarehe 19 Oktoba 2002 pale kijana wa miaka 16 wa timu ya Everton alipozima ndoto za Arsene Wenger na Arsenal yake kucheza michezo 30 bila kufungwa. Katika mchezo huo mtangazaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Oktoba 1 ukizubaa tu, unakanyagwa

Na Ayoub Hinjo Zimebaki siku chache ili tuweze kuona pambano la watani wa jadi katika msimu huu mpya wa 2016/17. Ni mechi ambayo inavuta hisia za mashabiki na watu wengine kwa ujumla ambao si...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAYNE ROONEY, UNAKETI AU UNASIMAMA?

Kumbuka ile siku, siku muhimu sana kwenye maisha ya Wayne Rooney. Ni ile siku ambayo alinyanyuliwa kutoka kwenye benchi kijana mwenye umri wa miaka 16 tu chini ya kocha David Moyes kunko klabu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushindi wa Kilimanjaro Queens usitumike kama kichaka cha kuficha uozo TFF

Mara nyingi wabongo tumekuwa tunatafuta kichaka cha kujifichia, sasa hivi kuna siasa zinataka kutumiwa nyuma ya kichaka cha Kilimanjaro Queens kuchukua ubingwa wa CECAFA kwa upande wa wanawake kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho La 3: Kichuya si wing mzuri, Mwashuiya si mchezaji wa benchi Yanga,...

Na Baraka Mbolembole STEVEN Mapunda ‘Garrincha’ na Said Maulid ‘SMG’ ni wings wa kwanza wa ‘kizazi cha miaka ya 2000’ ambao walitikisa sana Tanzania kutokana na uchezaji wao wa kasi wakitokea upande...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Match preview- Arsenal yenye njaa kuvunja mwiko wa muda mrefu dhidi ya...

Arsenal leo wako nyumbani wakiwa na mtihani mzito watakapokuwa wakiwakaribisha mahasimu wao wa jiji la London Chelsea katika mchezo wa EPL utakaofanyika kunako Uwanja wa Emirates saa 1:30 usiku kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Antonio Conte anafahamu kama yupo mikononi mwa Abramovic?

Na: Ayoub Hinjo Yuko wapi aliyesema tabasamu linaficha vitu vingi!? Maana pia kuna aliyesema aisifuye mvua imemnyea. Moyo huficha siri ambazo kwa macho huzioni sasa hili kuficha maumivu ya moyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nje ya pitch- Mourinho anaongea navajo kuhusu Rooney

Na Athumani Adam Navajo ni jamii ya kihindi ambayo inapatikana Kusini mwa Marerkani. Kwenye jimbo la Utah wanakadaliwa kufika watu milioni 3 kutokana na sensa ya mwaka 2015. Pia wanapatikana Arizona...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jicho la 3: Yanga ilistahili kipigo vs Stand United, msijidanganye kuhusu…

Na Baraka Mbolembole Ubora wa Yanga SC hauwezi kufifia kirahisi kama baadhi ya watu wanavyofikiria. Sina shaka kuhusu hilo licha ya kupoteza mchezo wa kwanza kati ya mitano katika ligi kuu Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Namba Hazidanganyi, Ronaldo yupo kwenye anguko kama Rooney

Zinedine Zidane alizungumza baada ya mchezo vs Las Palmas kwamba alimbadili Cristiano Ronaldo ili kumpumzisha kuelekea mchezo wa kesho vs Dortmund katika usiku wa mabingwa wa ulaya.  Ilikuwa wazi ni...

View Article
Browsing all 676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>