Carrick sio Paka ni simba aliyenyeshewa
Msimu wa 2006 tarehe 31 Mwezi Julai, Spurs walipokea dau la £14m, kumuuza Carrick, kuelekea klabu ya Man United. Ilikuwa tarehe kama ya leo na mwezi kama leo ndipo Carrick alielekea Old Trafford....
View ArticleMadili haya ni “Pasua Kichwa”
Makocha na mashabiki wengi huwa wanakosa sana amani wakati wa usajili. Ukisikia mchezaji wako anahitajika na vilabu kama PSG, Real Madrid, Barcelona na Man United basi matumbo joto. Kwa sasa kuna...
View ArticleSerie A is Back (Baba mtakatifu angesemaje dili la Ronaldo?)
Hapo zamani za kale Italia ilikuwa na watu wabaya kwenye soka la ulaya. Walijua kushawishi sana wachezaji. Alikuwepo mwanaume aliyejulikana kama Silvio Beluscone na kule Turin alikuwepo mbabe wa...
View ArticleHongera sana Jokate lakini usiwasahau akina Hazard
“Unyenyekevu, busara na hekima nijalie eh Mungu Wangu” Jokate Mwegelo. Nataka niwahadithie kitu. Hapo zamani palikiwepo na wakulima walisemekana walikuwa wamelala shambani nchini fulani. Wafanyakazi...
View ArticleJezi ya Rashford ni nzito sana
Moja ya wachezaji wakubwa kuwahi kuvaa jezi namba 10 pale Old Trafford ni Dennis Viollet, mmoja mashujaa wa Sir Matt Busby’s “Babes” Kuna baadhi ya wachezaji waliova pia namba hizo. Mashujaa wengine ni...
View ArticleLa Masia ni kinyago cha Barcelona, hakina madhara tena
Ukiitazamana kwa makini NOU CAMP utagundua inaangamia taratibu ikiwa na tai shingoni. Wanahaha kila kukicha. Hivi majuzi kuna watu waliikebehi Barcelona kuwa imegeuka kuwa Madridfication kwa wale...
View ArticleWachambuzi wa BBC watabiri Top 4 yao
Ian Wright 1. Liverpool 2. Man City 3 . Man Utd 4 . Arsenal Ruud Gullit 1. Liverpool 2. Man City 3. Chelsea 4. Man Utd Martin Keown 1. Liverpool 2. Man City 3. Spurs 4. Man Utd Dion Dublin 1. Man City...
View ArticleHuyu ndiye mwamba Thiery Henry mshambuliaji bora kuwahi kutokea EPL
Siku ya leo Theiry Henry anatimiza miaka 40 ya kuzaliwa kwake. Leo hatutaki maneno mengi, tunaangalia rekodi zake, tuzo zake na mafanikio yake kwa ujumla Wasifu wake Taarifa kwa ufupi Majina Thierry...
View ArticleMourinho akiona kunguru wamepungua mtaani, nyama za kuku ni nyingi na...
Bila shaka hakuna tena haja ya kumuongelea Mourinho kwa namna nyingine zaidi ya kusema “Ele precisa descansar” (Kireno) Yaani anahitaji kupumzika kidogo. Arudi tena mpaka kule mjini Setubol au aende...
View ArticleMLIPUKO: Umri wa Okwi ni mwandiko wa daktari, ukiuchunguza sana utachanganya...
Unajua kwa sasa hakuna timu yenye uwekezaji mkubwa sana kuzidi Simba hapa Tanzania. Simba mpo vizuri. Mnafaa mpewe pongezi. Heko kwa Mo na Manara kwa kazi yenu kubwa. Bila kigugumizi Simba imekamilika...
View ArticleNani atamnunulia Kelvin “Mbappe” John tiketi ya Kwenda Manchester
Kevin John, hili jina limebadilisha hali ya hewa uwanja wa taifa. Mabao 6 michezo 3. Inaonekana yupo siriazi na kazi. Sijabahatika kuonana nae lakini nikiri tu kwamba ana uwezo. Pili naweza kutumia...
View ArticleTBT: Fahamu kuhusu Bushman! Fedha zake zilibebwa na upepo
Hivi unamkumbuka yule jamaa aliyecheza zile filamu ya Bushman? Hasa ile filamu ya “The Gods Must Be Crazy” unaambiwa alilipwa kiasi cha $300 ikiwa filamu iliingiza $60 milioni. Na Privaldinho Majina...
View ArticleWamemkatili Ozil kama msaliti lakini dunia inamtazama kama shujaa
“Nimezaliwa na kukulia Ujerumani, kwanini watu hawaniheshimu kama mjerumani mwenzao”Ozil Özil ana asili ya Turkish-German [Uturuki na Ujeruman]. Hajawahi kukana asilia yake, wala haoni aibu kusifia...
View ArticleReal Madrid wajitathmini sana kwa Jr
REAL MADRID Real Madrid imemsajili Vinicius Junior kutoa Brazil. Kijana huyu fundi kila mtu anasema neno jema kwake. Wengine wanaamini kuwa huyu ndiye mchezaji pekee mwenye udambwi wa Neymar. Mwandishi...
View ArticleWachezaji 10 wakigeni VPL sio ishu, ishu inaanzia hapa…!
Rais wa TFF Wallace Karia ametoa ufafanuzi juu ya kilichopelekea TFF kufanya marekebisho ya kanuni za ligi kuu ikiwa ni pamoja na kjongeza kioengele cha wachezaji 10 wa kigeni jambo ambalo linaonekana...
View ArticleAli Kiba, mpira ni mzito kuliko MIC
Baada ya mchezo wa Timu Samatta Vs Timu Ali Kiba nilipata nafasi ya kuongea na Kocha Julio. Nikamuuliza anaonaje kiwango cha Ali Kiba. Akasema Ali Kiba ana kipaji kizuri kuliko hata baadhi ya wachezaji...
View ArticleHela zinawatoa povu Klopp na Mourinho
Mourinho, ameeleza kwamba kocha mkuu wa Liverpool Jurgen Klopp anapaswa kushinda kombe msimu kutokana na usajili mkubwa aliofanya. amesema hayo baada ya Liverpool kutumia zakdi ya £185m katika wiki...
View ArticleOrodha ya wachezaji waliodanganya mashabiki wao, (Henry, Nasri,..)
GAEL CLICHY Mlinzi wa zaman wa kushoto wa Arsenal alocheza pamoja na akina Kolo Toure na Emmanuel Adebayor wote hawa walijunga Man City – among other pamoja na Yaya Toure na Carlos Tevez – walijunga...
View ArticleRodrygo ana vitu vitatu “Kipaji cha Neymar, kivuli cha Pele na nyayo za Robinho”
Amezaliwa kule Osasco, katika jiji la São Paulo. Sasa hivi ukiachilia mbali dili la Vinicious kujiunga na Madrid basi kuna mtu anaitwa Rodrygo. Rodrygo alijiunga na Santos’ akiwa na mika 10 mwaka 2011....
View ArticleCristiano Ronaldo – Mgodi unaotembea – hivi ndivyo timu pinzani Serie A...
Ilifahamika wazi kwamba kuwasili kwa Ronaldo Serie A kungeongeza demand ya mambo mbalimbali nje na ndani ya uwanja. Siku moja baada ya uhamisho wake kutoka Real Madrid kutangazwa iliripotiwa Juventus...
View Article