Carrick sio Paka ni simba aliyenyeshewa
Msimu wa 2006 tarehe 31 Mwezi Julai, Spurs walipokea dau la £14m, kumuuza Carrick, kuelekea klabu ya Man United. Ilikuwa tarehe kama ya leo na mwezi kama leo ndipo Carrick alielekea Old Trafford....
View ArticleMadili haya ni “Pasua Kichwa”
Makocha na mashabiki wengi huwa wanakosa sana amani wakati wa usajili. Ukisikia mchezaji wako anahitajika na vilabu kama PSG, Real Madrid, Barcelona na Man United basi matumbo joto. Kwa sasa kuna...
View ArticleDrama za Perez zitawaponza Chelsea
Tumesikia Isco anauzwa. Lakini tujiulize kwani Isco Madrid kachoka? Kwani Madrid hakuna nafasi ya Isco? Si ndio Isco yule yule Perez akichukua uamuzi mgumu kumruhusu Di Maria kuondoka ili ampishe Isco...
View ArticleSipo upande wa Shaffih wala upande wa Simba
Kumekuwa na kauli moja maarufu sana hapa nchini, “Anataka kututoa kwenye lengo” au “anataka kutuvuruga”. Hii kauli hutumiwa zaidi kuzuia watu kuisema Simba iwe kwa uzuri au ubaya. Manara hana makosa...
View ArticleAsante David De Gea kwa utamu huu!!
Katika ukurasa wake wa tweeter mwanaume mmoja mabaye wengi walidhani ndiye aliyewahi kuvaa gloves bora kwenye kikosi na historia ya Manchester United alikuwa ameweka emoji ya kunyoosha mikono juu...
View ArticleMonaco vs Nice ni vita ya watoto wa Wenger Ufaransa
Kwa wale waliowahi kuiona Arsenal katika ubora wake miaka ya 1996 mpaka 2004 kwenye kikele cha kikosi kikichopachikwa jina la ‘The invisible’ baada ya kucheza msimu mzima wakichukua ubingwa wa EPL bila...
View ArticleKwa heri Petr Cech GLOVES zako zitaendelea kukumbukwa Darajani
Wakati zilipovuja taarifa za golikipa wa Jamhuri ya Czech ambaye alikuwa asajiliwe na klabu ya Manchester United atakwenda Chelsea kwa sababu mtu ambaye alikuwa amesimamia deal ya usajili wake Old...
View ArticleHistoria, mafanikio na kikosi cha AS Vital wapinzani wa Simba leo
AS Vita ni timu iliyopo kwenye viunga vya jiji la Kinshasa nchini DR Congo na imeanzishwa mwaka 1935 ikiwa inaitwa Renaissance lakini baadaye mwaka 1939 ikabadilishwa jina na kuitwa Victoria Club....
View ArticleJezi ya Man United yazima uhai wa mwanasoka Zimbabwe
“Alikuwa amevaa jezi ya Manchester United, nahisi walidhani ni muandamaji. Wakampiga risasi ya kichwa kisha wakamtelekeza” Maneno ya Mzee Julius Choto “Mwanangu alikuwa tegemezi, Serikali...
View ArticleLiverpool na Senegal zinamdai Sadio Mane
Inachukua muda kupata kile unakihitaji kwa nia zote, hii ni pamoja na kuunganisha sala na juhudi juu ya kile unachokitafuta Hii inajidhirilisha kwa ustadhi Sadio mane. Kwa sasa ni mshambuliaji wa klabu...
View ArticleBarcelona inakwama wapi?
Ukitazama jezi ya Barcelona kwenye sehemu ya ‘beji’ ya klabu kuna maneno ya kihispania ambayo tafsiri yake ina maana ya maneno haya ‘ZAIDI YA KLABU’ hii ni moja ya kauli mbiu ambazo zilibuniwa miaka...
View ArticleDauda vs Geoff Lea & Maeda kuhusu Barca kumsajili Boateng
Baada ya Barcelona kumsajili Kevin Prince Boateng raia wa Ghana, mijadala imekuwa mingi sana kila mmoja akiwa na mtazamo wake binafsi. Swali kubwa linaloulizwa ni je Barcelona wameshindwa kuendeleza...
View ArticleManara unakula matunda ya mti wako (Part 1)
Afisa habari wa Simba jana aliwajia juu mashabiki wa soka wanaomkalia kooni baada ya Simba kufungwa na Bandari kwenye mashindano ya SportPesa na kupoteza nafasi ya kucheza na Everton ambapo bingwa wa...
View ArticleManara unakula matunda ya mti wako (Part 2)
Mashabiki wana haki ya kumbana Manara kuhusu matokeo ya timu yao! Haji anatengeneza matatizo halafu yanamrudia mwenyewe, kwa nini una-panic mashabiki wanapohoji kuhusu matokeo mabovu ya timu yao?...
View ArticleAlichofanya Manara kilipaswa kufanywa na Simba
Haji aliingia Simba kama mtu wa kawaida sana alikua mtu anayejulikana na watu wachache ila hakuwa maarufu, amewahi kupita Radio Uhuru lakini si wengi walimjua huko amewahi pia kupita CCM lakini si...
View ArticleNi nani Ruge wako? Je wewe ni Ruge kwa nani?
Mimi ni mmoja kati ya mamilioni ya watanzania waliofatilia kwa ukaribu sana mazishi ya aliyekua mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba aliyefariki February 26,2019....
View Article